
FULL TIME
Mchezo umemalizika. Simba wanashinda mabao 4-0.
Dk ya 89: Majimaji wanaonekana kukata tamaa.
Dk ya 88: Mavugo anaingia na mpira lakini beki wanatoka, inakuwa kona
Dk ya 84: Simba wanafanya mabadiliko, Mavugo anaingia anatoka Kichuya.
Dk ya 81: Majimaji wanafika langoni lakini mpira unakuwa offside.
Dk ya 80: Bocco anafika langoni mwa Majimaji shuti lake linapaa juu.
Dk ya 72: Six wa Majimaji anakosa nafasi ya wazi, anapiga shuti linatoka nje kidogo ya golini.
Dk ya 68: Okwi anafunga bao la nne kwa kumchambua kipa, alipewa pasi na Bocco ambaye aliwachambua walinzi wa Majimaji.
GOOOOOOOOOOOOOOOO

Dk ya 65:Majimaji wanafanya mabadiliko Jerry Tegete ameingia kuchukua nafasi ya Peter Mapunda
Dk ya 62: Simba wanapata faulo nje ya 18 ya Majimaji, inapigwa inatoka nje.
Dk ya 58: Mchezo umechangamka.
Dk ya 54: Simba wanafanya shambulizi kali, kipa anapangua shuti lingine la Okwi.
Dk ya 52: Okwi anafanya shambulizi lingine kali, kipa anapangua.
Dk ya 50: Emmanuel Okwi anaipatia Simba bao la tatu kwa kichwa, anamalizia mpira wa kona uliopigwa na Kichuya.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 47: Majimaji wanashambulia, Marcel anafanya kazi nzuri lakii mpira unatoka nje.
Simba wanafanya mabadiliko, ametoka Juuko Murshid ameingia Kotei.
Dk ya 50: Emmanuel Okwi anaipatia Simba bao la tatu kwa kichwa, anamalizia mpira wa kona uliopigwa na Kichuya.

GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 47: Majimaji wanashambulia, Marcel anafanya kazi nzuri lakii mpira unatoka nje.
Simba wanafanya mabadiliko, ametoka Juuko Murshid ameingia Kotei.
Kipindi cha pili kimeanza.
MAPUMZIKO
Dk ya 45 + 3: Kichuya na Kapombe wanapigiana pasi nzuri.
Dk ya 45+ 1: Majimaji wanafika langoni lakini Manula anakuwa makini kuzuia.
Mwamuzi wa mezani anaonyesha dakika 3 za nyongeza.
Dk ya 45: Simba wanaendelea kutawala mchezo. Majimaji nao wanapambana.
Dk ya 42: Jamal Mwambeleko anatoka anaingia Muzamiru Yasin.

Dk ya 42: Jamal Mwambeleko anatoka anaingia Muzamiru Yasin.
Dk ya 41: Majimaji wanafanya shambulizi kali, shuti linapaa juu.
Dk ya 39: Simba bado wanamiliki mpira muda mwingi.
Dk ya 38: Okwi anapiga shuti kipa wa Majimaji anapangua.
Dk ya 37: Majimaji wanaotea mara ya tano. Mwamuzi anapuliza filimbi.
Dk ya 36: Boniventure anapiga shuti linakuwa na nguvu dogo, Aishi Manula anadaka.
Dk ya 35: Majimaji wanafika langoni mwa Simba lakini Geofrey anakuwa ameotea.
Dk ya 32: Simba wanapata kona.
Dk ya 30: Majimaji wanaonekana kutokuwa makini katika maamuzi yao.
Dk ya 27: Bocco anaipatia Simba bao la pili kwa kichwa, asisti ya Said Ndemla.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Dk ya 27: Bocco anaipatia Simba bao la pili kwa kichwa, asisti ya Said Ndemla.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 25: Simba wanapata kona, inapigwa inaokolewa.
Dk ya 24: Pasi nzuri ya Kapombe haitumiki vizuri, Bocco anapaisha mpira akiwa yeye na lango.
Dk ya 24: Pasi nzuri ya Kapombe haitumiki vizuri, Bocco anapaisha mpira akiwa yeye na lango.
Dk ya 22: Inapigwa faulo, walinzi wa Simba wanaokoa.
Dk ya 20: Geofrey Mlawa wa Majimaji yupo chini, anapatiwa matibabu karibu ya eneo la 18 la Simba.
Dk ya 16: John Bocco anaipatia Simba bao kwa njia ya kichwa, ilipigwa kona na Kichuya, kukatokea mgongano kisha Bocco akafunga kwa kichwa.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 15: Peter Mapunda wa Majimaji anaingia ndani na mpira lakini walinzi wa Simba wanamuwahi.
Dk ya 8: Simba wanapata kona lakini inaokolewa.
Dk ya 5: Mchezo umeanza kwa kasi ndogo.
Dk ya 2: Majimaji wanafika langoni mwa Simba na wanakosa nafasi ya wazi.
Dk ya : Mchezo umeanza kwa kasi ndogo.
Mchezo umeanza.

SIMBA: Manula, Kapombe, Kwasi, Juuko, Nyoni, Mkude, Mwambeleko, Ndemla, Kichuya, Okwi na Bocco
MAJIMAJI: Salehe Malande, Lucas Kikoti, Mpoki Mwakinyuke, Kenned Kipepe, Palao Maona, Hassan Hamis, Peter Mapunda, Yakubu Kibiga, Geofrey Mlawa, Marcel Bonavanture na Jafar Mohamed.
PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL