×

Mastaa Walitikisa Red Carpet Grammy Awards

John Legend  na mkewe, Chrissy Teigen.

Hapa nimekuwekea picha za wasanii walioibuka kwenye red carpet wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku wa kuamkia leo.

 

DJ Khaled.

• Bruno Mars ndiye alikuwa kinara kwa kunyakua Tuzo sita zikiwemo Album of The Year, Record of the Year na Song of The Year.

 

Jaden Smith.

• Kendrick Lamar alikimbiza kwenye muziki wa rap na Cara akaibuka kidedea kipengele cha msanii anayechipukia.

 

 

 

Rick Rosee.

 

 

Mtangazaji na Mwanamitindo Trevor Noah.