
MKALI wa bongo Fleva, Diamond Platonumz usiku wa kuamkia leo alifanya makamuzi ya aina yake pale Hyatt Regency Hotel wakati wa kumtambulisha msanii kwenye lebo yake ya WCB, Maromboso ‘Mbosso’.
Katika hafla hiyo, iliyohudhuriwa na mastaa kibao pamonja na waandisahi wa habari, Diamond alipata fursa ya kupanda jukwaani kukamua na msanii wake huyo mpya, @mbosso_
Hakika shoo ilikuwa ya aina yake.