
MPIRA UMEMALIZIKA
Majimaji wanapambana kutafuta bao la kusawazisha, lakini kazi ni ngumu.
Zinaongezwa dakika tatu za nyongeza.
Dakika ya 90: Kessy anamdhibiti Mapunda, mpira uantoka.
Dakika ya 88: Emmanuel Martine wa Yanga anatoka, anaingia Geofrey Mwashiuya.
Dakika ya 88: Emmanuel Martine wa Yanga anatoka, anaingia Geofrey Mwashiuya.
Dakika ya 86: Majimaji wanafanya mabadiliko, Jafari anatoka, nafasi yake inachukuliwa na Paul.
Dakika ya 83: Majimaji wanafika kwenye lango la Yanga lakini Makapu anaokoa hatari.
Dakika ya 76: Marcel anawasumbua Yanga lakini walinzi wanakuwa makini.
Dakika ya 74: Mabadiliko upande wa Yanga, Raphael Daudi anatoka anaingia Yusuph Mhilu.
Dakika ya 70: Yanga wanatawala mchezo, Majimaji wanapambana kutafuta bao la kusawazisha.
Dakika ya 62: Kasi ya mchezo imeongezeka.
Dakika ya 61: Jafal Mohamed anaipatia Majimaji bao la kwanza.
Dakika ya 62: Kasi ya mchezo imeongezeka.
Dakika ya 61: Jafal Mohamed anaipatia Majimaji bao la kwanza.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 60: Kazi imekuwa ngumu kwa Majimaji, Yanga wanaanza kutawala mchezo.
Dakika ya 57: Yanga wanapata bao la pili mfungaji ni Emmanuel Martine.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 55: Kasi ya mchezo imepungua kiasi.
Dakika ya 53: Tshishimbi anapata mpira, anaurudisha kwa kipa, kipa anapiga mpira unatoka nje, unakuwa wa kurushwa.
Dakika ya 50: Ajibu anawatoka walinzi wa Majimaji, anapiga shuti kali kipa anapangua inakuwa kona.
Dakika ya 48: Yakub anamiliki mpira katikati ya uwanja.
Dakika ya 47: Majimaji wanashambulia lango la Yanga lakini kipa anafanya kazi nzuri.
Kipindi cha pili kimeanza.

MAPUMZIKO
45+ Mpira unarushwa kuelekea lango la Yanga baada ya wachezaji wa Majimaji kuutoa nje
45+’ Dakika 3 zimeongezwa mpira uwe mapumziko, matokeo ni 0-1
39′ Marcel anapiga kona mbovu ambayo inaokolewa na beki ya Yanga
19′ Faulo inapihwa na Ajibu kuelekea Majimaji, kushoto wa Uwanja, anapiga lakini kipa anaipangua na kuwa kona
15′ Bonaventure analisakama lango la Yanga lakini mwamuzi wa pembeni anasema ni offside
14′ Majimaji wanafanya shambulio lakini umahiri wa Youthe Rostand anadaka mpira
13′ Faulo inapigwa tena kuelekea Majimaji baada ya faulo
9′ Ibrahim Ajibu anafanya kazi safi kwa kupiga krosi langoni mwa Majimaji lakini mabeki wanaokoa
6′ Hassan Kessy anachezewa mazambi, na faulo inachezwa tena kuelekea Majimaji FC
5′ Buswita anachezewa faulo, mpira unapigwa kuelekea lango la Majimaji