Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hali ya uchumi nchini imezidi kubwa mbaya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Amebainisha kuwa katika ziara hizo amebaini kuwepo kwa hali mbaya ya maisha ya wananchi vijijini na kwamba hawana kipato huku wakikabiliana na migogoro ya ardhi, kukosekana kwa huduma ya majisafi na salama na ukosefu wa huduma bora za afya.