The House of Favourite Newspapers
gunners X

HODI JIMBONI: Kutana na Daktari Huyu wa Kipekee – Video

HODI JIMBONI leo inaangazia zaidi katika sekta ya afya ambapo tumezunguka katika baadhi ya Vijiji katika Jimbo la Kibaha vijijini na kujionea changamoto mbalimbali zilizopo kwenye sekta hii sambamba na maendeleo yaliyofanywa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini.

 

Tumejionea baadhi ya Zahanati katika vijiji tofauti zaidi kilichotushangaza, sehemu nyingine Zahanati za Vijiji hazina Wagonjwa kabisa mpaka alisikika Daktari mmoja akisema kuwa inafikia hatua wanawakumbuka wagonjwa.

 

Sababu kubwa ni changamoto za Matibabu kwa upande wa vifaa ,wauguzi na Huduma kwa ujumla hali inayosababisha wanakijiji kutembea umbali mrefu na kwenda kutibiwa katika Hospitali za Wilaya.

HODI JIMBONI: Kutana na Daktari Huyu wa Kipekee

Comments are closed.