Mbunge wa Mchinga kupitia CUF, Hamidu Bobali, amedai kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, hapeleki fedha za Halmshauri kwa wakati na hali hiyo itaweza kupelekea wizara ya Tamisemi isifanye kazi yake vizuri.