PICHA: BODIGADI MPYA WA RAIS ALIVYOKARIBISHWA IKULU
Global Publishers April 17, 2018
SHARE THIS:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa akimkaribisha Ikulu, Msaidizi Mpya wa Rais Dkt. John Magufuli, Kanali Mlunga ambaye amechukua nafasi ya Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.
Gerson Msigwa akimuaga aliyekuwa msaidizi wa Rais, Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.