MSANII Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rekish asubuhi ya leo katika msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa nchini Kenya. Na usiku wa leo sherehe imefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee ulioko jijini humo.