The House of Favourite Newspapers

BUNGE: Mkutano wa 11, Kipindi cha Maswali na Majibu – Video

Vikao vya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeendelea Mjini Dodoma ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi Ujenzi na Mawasiliano amewasilisha bungeni randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.

Aidha baaada uwasilishaji huo kipindi cha maswali na majibu kikaendelea.

Comments are closed.