Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania(TPB). Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Letice Rutashobya ambae amemaliza muda wake.