Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Ufatiliaji na Udhibiti, Dkt Janet Mghamba, amezungumzia juu ya magonjwa ya mlipuko nchini na namna ambavyo Wizara ya Afya Nchini kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) walivyojipanga kukabiliana nayo.