×

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, amesema hakuna mtu anapinga serikali kununua ndege au kufufua Shirika la Ndege la ATCL, isipokuwa ununuzi wa ndege hizo mpya ‘Bombardier’ unatakiwa ufuate utaratibu na kulishirikisha bunge.

 

Aidha, Heche ameitaka Serikali itengeneze miundombinu ya barabara za lami katika mkoa wa Mara ili kuimarisha sekta ya usafirishaji na kukuza uchumi ikizingatiwa kwamba ndiyo mkoa wenye Mbuga kubwa ya wanyama nchini, Serengeti inayoingiza kipato kikubwa kwa taifa.

VIDEO: MSIKIE HECHE AKIFUNGUKA