Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo jana tarehe 5 Mei 2018 alifika katika Kijiji cha Tundu, Kata ya Kidodi katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli.