WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania (EAGT), Dkt. Brown Mwakipesile, Ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo Mei 12, 2018.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.