×

Sakata la Ubalozi wa Israel Latikisa Bunge – Video

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amesema kuwa nchi ya Tanzania imejenga heshima dunia kutokana na kupigania utu mahali popote dunian huku akidai Mwalimu Nyerere hakuzuia mahusiano na nchi ya Israel bali alitaka maslahi ya wanyonge yazingatiwe.

 

Zitto amesema hayo  Bungeni leo wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya Balozi Augustino Mahiga, ikiwa ni miezo kadhaa tangu nchi ya Tanzania itangaze kuufufua ubalozi wake nchini Israel.

SIKIA KAULI YA ZITTO – Video