MSIKIE Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, , akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Dkt Medard Kalemani.