Mtalii kutoka Nchini Canada, Jimmy Pelleilier mwenye ulemavu wa kutembea anayetumia baiskeli ya magurudumu matatu leo Mei 20, 2018 ametimiza azma yake ya kupanda Mlima Kilimanjaro jana.