EXCLUSIVE: Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la WCB Wasafi, Harmonize, ametembelea ofisi za Global Publishers na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na shoo yake kubwa kuliko itakayofanyika sikukuu ya Iddi pili katika ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Harmonize pia amezungumzia mambo mablimbali ikiwemo sakata linaloendelea sasahivi mitandaoni kuhusiana na Diamond, Zari na Hamisa Mobeto.