Timu ya Singida United imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya SportPesa Super Cup baada ya kutoka sare na baadaye kupiga mikwaju ya penalti ambapo Singida wameshinda 4-1 dhidi ya KK Homeboyz.
Kabla ya ushindi huo wa Singida, Kakamega Homeboyz ndiyo walikuwa wa kwanza kufunga bao kwenye mchezo huo lililofungwa na Opondo kabla ya Danny Lyanga kusawazisha kwa Singida United.



PICHA: MUSA MATEJA, NAKULU KENYA