NYOTA wa mpira wa kikapu wa Marekani, LeBron James, amesema nyumba yake ya ufukweni iliyoko visiwa vya Anguilla humgharimu Dola 75,000 kwa wiki kila anapokwenda kupumzika huko.
Mchezaji huyo wa Cleveland Cavaliers (Cavs) kwa sasa anaipitisha muda katika nyumba hiyo iliyoko Anguilla Beach eneo la Meads Bay ambayo ina kila aina ya starehe.

Taswira nyingine ya nyumba hiyo.
