×

SHABIBY KUKATA TIKETI KUPITIA MTANDAO

Kampuni ya Shabiby Line Bus Services, yenye mabasi ya Shabiby Line imekuja na huduma mpya kwa wateja wake kwa kukata tiketi kupitia website yao (www.shabiby.co.tz) na kulipia kwa njia ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel  Money.

Mabasi ya Shabiby Line yanafanya safari  mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Arusha, Moshi na kwengine.

Kwa maelezo zaidi wateja wapigie simu namba:  0718 86 59 87