×

LIVE: Waziri wa Maji na Umwagiliaji Akabidhiwa Rasmi Ofisi

Waziri Mpya wa wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa leo Julai 03, 2018 amekabidhiwa rasmi ofisi yake na aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo Mhandisi Isack Kamwelwe.