×

VIDEO: Baba Halisi wa Patrick Afunguka Mazito, Kifo cha Mwanaye

Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala ambapo ndipo ulipo msiba wa mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika kwa jina la Patric maarufu kama Patda Smart Boy, aliyefariki dunia jana jioni huko jijini Nairobi nchini Kenya.

Stori kamili, picha na Video Install Global Pubishers App na uifungue

Android : =>  Play store

IOS : =>   APP store

Baada ya kufika msibani hapo Global Tv imezungumza na mtu anayedaiwa kuwa ndiye baba mzazi wa mtoto huyo tofauti na mtangazaji wa Clouds, Casto Dickson ambaye wengi wanamfahamu kuwa ndiye baba wa Patrick na pia Dada wa Muna amezungumza kuhusiana na kifo cha mtoto huyo.