Muigizaji Rose Alphonce ‘Muna Love’ ameaga mwili wa mwanaye Patrick katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wamefika kuungana na wazazi wa marehemu.
PICHA: RICHARD BUKOS | GPL