×

SIMANZI: Hivi Ndivyo Patrick Anavyozikwa Makaburi ya Kinondoni – Video

Mwili wa mtoto Patrick ambaye ni mtoto wa Muna Love umezikwa leo Jumamosi, Julai 7, 2018  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kuagwa katika Viwanja vya Leaders.