The House of Favourite Newspapers

New Video: Gift Mwamba – Uvumilivu Official Video

Japo na matatizo ila usiyape na fasi imani yako ndio nguzo majaribu yafanye mtajii simama palepale. Chini ya jua hakuna lililogumu, mwamini yeye ukimwomba yanawezekana, uvumilivu ni neno dogo sana lakini ndio kila kitu katika maisha yetu.

Chochote unachokifanya kinaitaji uvumilivu.nakukaribisha kutazama video hii naimani hutabaki kama ulivyo. UVUMILIVU NI MTAJI ATAKUTAJILISHA MUNGU TU.

 

TAZAMA WIMBO HUU KUTOKA KWA Gift Mwamba HAPA UBARIKIWE

Comments are closed.