×

Mastaa Waliopata Umaarufu kwa Sehemu za Miili Yao

 

Tokeo la picha la Kylie Jenner’s Lips
Mtangazaji wa televisheni, Kylie Jenner, ni maarufu kwa midomo yake ya kuvutia.

Picha inayohusiana

Kivutio cha mwanamitindo na mwigizaji Cara Delevigne, ni nyusi zake.

Tokeo la picha la Kim Kardashian’s Butt

Mtangazaji wa televisheni, Kim Kardashian, kivutio chake ni makalio murua ambayo wanaume na wanawake lazima wayatazame.

Tokeo la picha la Miley Cyrus’ AbsTumbo la kuvutia lisilo na ‘manyama uzembe’ ndiyo linalozidi kumpa umaarufu mwigizaji, mwimbaji Miley Cyrus.
Tokeo la picha la Christina Hendricks’ Chest

Umaarufu unaomwongezea mvuto mwigizaji Christina ni, kifua chake kilichopambwa kwa ‘hazina maalum’ inayolazimisha jicho kutazama.

Tokeo la picha la Jared Leto’s Hair

Mwigizaji na mwimbaji Jared Leto kivutio kinachomng’arisha zaidi ni nywele zake ndefu zinazoangukia pande zote za mabega.