×

Mwili wa Mama Shigongo Ulivyowasili Kijijini Kwao

Mwili wa mama wa Eric Shigongo umewasili leo nyumbani kwao katika kijiji cha Bupandwamhela, wilayani Sengerema ambako atazikwa kesho Jumatano kijijini hapo.