TAMSHA la “KOMAA CONCERT 2018, la kituo cha redio cha Efm na TV-E linafanyika leo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, ambapo lilitawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya.
Balaa la Maua Sama kwenye Jukwaa.