BUNGENI, DODOMA: Eng. Christopher Kajoro Chizza amekula Kiapo cha Uaminifu kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Buyungu, Kakonko, Kigoma.
Eng. Chizza alichaguliwa kwenye Uchaguzi Mdogo wa Agosti, 12, 2018 kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Mwalimu Kasuku Bilago.