The House of Favourite Newspapers

IKULU: Rais Magufuli Ametangaza Maombolezo, Si Mapumziko

IKULU imeeleza kuwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Siku 4 alizotangaza Rais Magufuli ni za maombolezo na sio mapumziko.

 

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameandika;

 

“. Napenda kutoa ufafanuzi kuwa Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018 ambayo ni siku ya mwisho ya maombolezo ya Kitaifa, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Mhe. Rais Magufuli ametangaza siku 4 za MAOMBOLEZO na sio MAPUMZIKO.”

 

BREAKING: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA AJALI YA MV NYERERE

Comments are closed.