×

CCM Yawaonya Wanaofanya Kampeni za Urais Kimyakimya

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. John Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya chama hicho, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Septemba 29, 2018.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya wanachama wake wanaoendesha kampeni za wazi na za kificho za urais wa Zanzbar, na kusema kuwa wanakiuka katiba na watachukuliwa hatua.

BREAKING: Msaidizi wa Mbowe Aeleza Mazito Baada ya Kutinga CCM