
Lisa Silversmith ambaye anajulikana pia kama Fiona Fiekowsky, 67, mwokota makopo katika Jiji la New York, ni tajiri mkubwa anayemiliki mali za Dola mil. 8 (Sh. bil. 18).

Kila siku mama huyo hupita mitaa ya New York na gari lake ‘lililochoka’ aina ya Toyota Camry akikusanya makopo ambapo akiyauza hupata dola 30 (Sh. 7,000) kila siku ambapo mumewe aitwaye Mark, anayefanya kazi katika Shirika la Maendeleo ya Uchumi jijini New York, hupata mshahara wa Dola 180,000 kwa mwezi.
Raslimali ziko sehemu mbalimbali za Jiji la New York maeneo ya Brooklyn na Harlem.


Lisa na biashara yake ya makopo.

Baadhi ya nyumba anazomiliki Lisa.

Gari la Lisa analotumia kubebea makopo.

Lisa akiwa kazini.