Mhe. Rais Magufuli amepokea hati za utambulisho za Mabalozi walioteuliwa kuziwakilisha nchi za Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait hapa nchini leo Alhamisi Oktoba 4, 2018, asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.

TAZANAMA VIDEO YA TUKIO HILO