×

Ndumbaro Aanza Kazi, Aelekeza Juhudi Zake Kwenye Uchumi – Video

SERIKALI imeeendelea kufanya juhudi za makusudi za kukuza uchumi wa Tanzania hususani mpango wake wa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa viwanda pamoja na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Damas Ndumbaro Amesema kuwa wizara ya mambo ya nje kwa kupitia balozi zake zilizopo nchi mbalimbali duniani, imechukuwa wito huo na kuanza kuuutekeleza kwa vitendo.

 

Akieleza mambo ambayo tayari wizara hiyo imeyafikia amesema kuwa mpaka sasa tayari wizara hiyo imefanya mambo mengi katika nchi mbalimbali nakueleza namna ilivyofanikiwa kwa kupokea.

BREAKING: Maamuzi ya serikali kuhusu Uchumi!!!