×

IBABA YA KUAGA MWILI WA ISACK GAMBA LUGALO – VIDEO

SHUGHULI ya kuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba imeanza rasmi katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam, ambako ibada ya kuaga inafanyika na baadaye utapelekwa airport tayari kwa safari kuelekea kwao Bunda kupitia Mwanza kwa ajili ya maziko.