MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara, amemkia kifua mchezaji wa timu hiyo Yannick Bangala Litombo, baada ya kuonyesha ishara ambayo sio ya kiungwana kwenye mchezo wa ngao ya jamii uliopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar, wikendi iliopita.