×

VIDEO | Juicy J Ft Travis Scott – Neighbor

Its Lit.Furahia kuitazama video mpya ya Rapper Juicy J akiwa na Travis Scott.Video imeongozwa na Rj Sanches na imeshutiwa Los Angeles (LA).

 

Kupitia mahojiano na Apple Music Beats1 radio Juicy J alifunguka kuhusiana na ngoma hii na kusema kwamba,”Ni jambo la kushangaza na kupendeza muda mwingi wakati ninapofanya kazi na Travis kama hii.

 

Ulilokuwa haulijui kuhusiana na Rapper Juicy J kwenye mahusiano yake na Travis Scott ni kwamba,Juicy J alishiriki pia kwenye kuandika album ya Astroworld ya Travis Sott iliyo land nafasi ya kwanza katika chart za Billboard 200 kwa Week ya kwanza.

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI