Polisi Mkoani Iringa imezuia mkutano wa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) uliokuwa ufanyike leo mkoani humo- Katibu Chadema Iringa, Jackson Mnyawami amethibitisha
Polisi wamesema wamepata taarifa za kiintelejensia kwamba kuna watu wamepanga kufanya fujo kwenye mkutano huo. Vilevile hawana askari wa kutosha wa kulinda mkutano.
