Wasanii wa filamu wakiongozwa na Steve Nyerere na Aunt Ezekiel, wakifanya yao kwenye steji ya Wasafi Festival 2018 Mtwara usiku wa kuamkia leo.Msanii wa vichekesho, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’, akiongea na mashabiki waliofurika katika tamasha hilo.Aunt Ezekiel akiwasalimia mashabiki.Dudu aka Konki Master akifanya yake.Kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na wasanii wawili, Aika na Producer Nahreel wakicheza wimbo wa ‘Katika Stejini’.…Wakiendelea na burudani.
Usiku wa kuamkia leo limefanyika tamasha la Wasafi Festival 2018 katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Wasanii waliotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Navy Kenzo, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling, mchekeshaji Dulvan na wengine kibao.
PICHA NA MUSA MATEJA | GPL
BASATA watinga Wasafi Festival “Diamond ni Hatari”