×

MCHUNGAJI: Nilitumwa Nikamtoe Amber Rutty, Bado Watu 5 – Video

JANA Novemba 28, 2018 msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari wanaokabiliwa na kesi ya kusambaza video za ngono mtandaoni pamoja na kufanya mapenzi kinyume na maumbile waliachiwa kwa dhamana ambapo mchungaji Daudi Mashimo ndiye aliwadhamani.

 

Leo mchungaji huyo amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na sakata hilo huku akitamka wazi kuwa Amber Rutty ni mtoto wa mungu kama ilivyo kwa wengine huku akikiri kutumwa kwenda kumtoa Gerezani.

VIDEO: MSIKIE MASHIMO AKIFUNGUKA HAPA