The House of Favourite Newspapers

TUTUMIE VIDEO ZA MATUKIO TUKULIPE MKWANJA CHAPCHAP!

GLOBAL TV – RIPOTA ni Youtube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi.

 

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

 

SHARE NA ULIMWENGU wapate kufahamu kinachoendelea hapo ulipo. Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia.

Sunscribe hapa ==> GLOBAL TV – RIPOTA

Comments are closed.