×

GLOBAL TV: Usikose Part Two Ya Chanzo Ni Wewe leo Saa 5:00 Asubuhi

Usikose kutazama muendelezo wa  CHANZO ni Wewe ni filamu ya Kitanzania inayomhusu Mzee Jengua ambaye anapata aibu na pigo kubwa baada ya kumbaka mwanae wa kike mdogo kama alivyoagizwa na mganga wa kienyeji ili kurudisha akili ya mwanae aliye feli mtihani wa darasa la saba kwa kudhania amelogwa na ndugu zake kwani alikuwa na akili sana. Kama ulikosa Part One tumekuwekea hapa chini.

GLOBAL MOVIES: CHANZO NI WEWE (PART ONE) – VIDEO