The House of Favourite Newspapers

Vanessa Mdee Azindua Viatu kwa Wanafunzi wa Kike – VIDEO

STAA wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amezindua bidhaa zake za viatu maalum kwa wanafunzi hasa wasichana alizozipa jina la ‘Bora Star by Vanessa Mdee’.

 

Kupitia ukurasa wake wa twitter, jana Jumanne Desemba 18, alituma ujumbe na picha akionyesha viatu hivyo huku akisema imekuwa ni ndoto yake kwa muda mrefu.

“Ilikuwa ndoto yangu kutengeneza bidhaa itakayonufaisha na kuboresha maisha ya msichanawa kitanzania ama kiafrika na leo nimetimiza ndoto yangu, nasema asante Mungu,” ameandika Vanessa.

VANESA MDEE Atambulisha Viatu Vyake Ataja Watoto Wakike

Comments are closed.