×

ALIKIBA na Kundi Lake Wafunika Fiesta Dar ( Video + Video)

Mwanamuziki  wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’,  akifanya yake usiku wa kuamkia leo katika Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lootee usiku wa kuamkia leo katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar.
…Wasanii wa King Music wakifanya yao kwenye steji.
Umati wa mashabiki ukiwashangilia Alikiba na kundi lake.
Alikiba akiongea na mashabiki.
Mashabiki wakimsikiliza…
Burudani ikiendelea
Mashabiki wakiwa wameshikika.

MWANAMUZIKI bab’kubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’,  usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake akiwa na kundi lake katika Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lootee katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar es Salaam,  ambako mashabiki walisuuzika roho zao ipasavyo kutokana na shoo hiyo kuwa ya viwango vyote.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL