×

MEMBE: Kuzaliwa, Elimu, Harakati Za Urais, Mgogoro CCM! – VIDEO

 

Katika kipindi cha ‘THE PROFILE’ Wiki tumekuandalia historia ya Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za Utawala wa awamu ya Nne, Benard Membe, kuanzia kuzaliwa kwake, elimu yake, harakati zake siasa mpaka sasa akiwa katika Chama cha mapinduzi (CCM).