Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Desemba 26, 2018 amejumuika na viongozi wa dini Mlimani City jijini katika hafla ya kuwapongeza kwa viongozi hao kwa juhudi zao za kuliombea taifa.