
Zawadi nyingine ya sikukuu, ‘Noma Kweli‘ toka kwa Young Dee ambapo ndani amedondosha bonge la unyama.
Video imeongozwa na Eddy, audio imefanywa na Mr T Touch.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
