Msanii Diamond Platnumz na mke wake mtarajiwa Tanasha wameonekana siku ya jana Disemba 28 wakiwa wanakula bata huku wakipigana mabusu moto moto huko Mwanza baada ya kutoka ubalozini.
Diamond Platnumz Tanasha Video
null
Diamond anategemea kufanya ziara yake ya muziki, ‘Wasafi Festival’ Nairobi nchini Kenya ya kufunga mwaka tarehe 31.